Skip to main content
Please wait...

Service Charter

Service Charter

Scrap Metal Service Charter 

MKATABA

WA HUDUMA

 

Baraza la Chuma Chakavu

 

VIWANGO VYA HUDUMA

 

HUDUMA

/NAMBA

HUDUMA

MAHITAJI

GHARAMA YA HUDUMA

 

RATIBA YA WAKATI

 

1.       

Kujibu Barua

Hakuna

Sufuri

Ndani ya Siku 5 za Kazi

 

2.      

Kujibu Uchunguzi kutoka kwa Wateja

Hakuna

Sufuri

Mara Moja

 

3.      

Kukiri Malalamishi

Hakuna

Sufuri

Saa 48

 

4.      

Kutatua Malalamishi

Hakuna

Sufuri

Ndani ya Siku 10 za Kazi

 

 

5.      

Malipo ya Huduma

Bili Rasmi

Sufuri

Kulingana na Masharti ya Mkataba

 

 

6.      

Kutoa Leseni ya Muuzaji

Kulingana na Sheria

Shilingi ya Kenya, 250,000

Ndani ya Siku 30 za Kazi

 

 

 

7.      

Kutoa Leseni ya Usafirishaji Nje

Kulingana na Sheria

Shillingi ya Kenya, 250,000

Ndani ya Siku 30 za Kazi

 

 

 

8.     

Kutoa leseni  ya Uagizaji

Kulingana na Sheria

Shillingi ya Kenya, 250,000

Ndani ya Siku 30 za Kazi

 

 

 

                 

 

 

National Social Security House Block A,

23th Floor Western Wing

P.O. Box 30418 - 00100,

NAIROBI- KENYA

Email: info@scrapmetalcouncil.go.ke

 

Website: www.scrapmetalcouncil.go.ke